Lyrics
Kiitikio
Kama wanipenda
Kaninunulie zeze
Nikilala kitandani
Zeze lanibembelezaaa
Rudia kiitikio
(Verse I)
Mateso moyoni
Usiku silali
Hadithi sitaki
Nataka zeze!
Penzi lako la thamani
Tanashati jamani
Usiku silali
Nakupenda zeze!
Kiitikio
(Verse II)
Majungu sitaki
Zeze langu silipati
Mapepe sipendi
Mapepe sipendi
Penzi lako burudani
Niwapo kitandani
Zeze langu maanani
Zeze langu maanani
Rudia kiitikio x2
Sitaki
Silipati
Silipati
Sipendi
Sipendi
Sema tena sipendii
Burudani
Burudani
Kitandani
Maanani
Maanani
Maanani
(Verse III)
Jay Moe:
a… a…a!
Mpenzi zeze vipi sema basi unanikataa
Mpenzi zeze sema basi kabla haijawa balaa
Usiniletee mapoozi njoo kwa mwanasanaa
Punguza gozi gozi machizi watakushangaa
Kama unanipenda njoo uniimbie raraby (lullaby)
Njoo upige zeze tucheze tupaff tuwe high
Wanga wakisema nadhani usiku watalala
Zeze anapigiwa mjanja zeze hapigiwi fala
Kama unanipenda kaninunulie sio hatari
Kama upo tayari twende home kajivinjari
Jaymo na TID ndani ya sauti ya dhahabu
Ni so ongeza bidii wewe kwangu nd’o jibu